Bendi ya Diamond Music chini ya rapa maarufu Mulumba Kashama wakifanya vitu vyao kwenye bonanza la sanaa linalokutanisha makundi kibao ya wasanii mbalimbali viwanja vya leaders club jijini Dar kila Jumamosi, ikiwa chini ya uanzilishi wa mwanasoka mashuhuri wa zamani wa Simba SC na mfanyabiashara Isihaka Kibene
Mpiga bezi wa kundi la TUNAWEZA akiwa mzigoni
Wacheza shoo wa Diamond Musica wakiburudisha
Meza kuu alikuwepo mgeni rasmi Mh. John Komba, Mbunge wa Mbinga Magharibi (kati), Mzee Kassim Mapili) wa pili kulia na waandaaji wa bonanza hili la kukata na shoka la kila Jumamosi
Juu na chini ni umati mkubwa wa wadau
wa sanaa waliojitokeza kwenye bonanza hilo











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...