Wachezaji wa Zesco ya Zambia wakifurhia moja ya mabao 2 waliyowafunga mabingwa wa kombe la Mapinduzi SC katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar leo
Timu zikisalimiana kabla ya mchezo
Waamuzi wa mchezo wakipozi na manahodha wa timu zote mbili
Hekaheka kwenye lango la ZescoMshambuliaji wa Simba SC Mussa Hassab 'Mgosi'
akipambana na mchezaji wa Zesco
Kikosi cha Simba SC leo
Kikosi cha Zesco leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tanzania si kwa mpira Bwana. Sisi kazi yetu ni Siasa mbovu tu na kulewa sifa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...