Dear Friends,

I am pleased to unveil my personal website - http://januarymakamba.com/ - which I have been putting together for some time. It is basically a source of information on Bumbuli, my personal self, and events and activities we will be pursuing there. There is also a story (My Story) about my journey from "Who am I?" tab. The site is still work in progress - we will attempt to have a Swahili version and a discussion forum or chat room in the coming weeks.

What I am most excited about the site is that we have managed to broadcast Live TV from Tanzania. You can get it from "media" tab. For now, we are testing ITV. TBC and may be other channels may come later). I think this will help our fellow Tanzanians in the Diaspora to keep abreast with news at home. I also encourage you to visit and sign up at www.bumbuli.org which is still under construction. This will be a corporate website for the upcoming Bumbuli Development Corporation, a vehicle for Bumbuli transformation. It will also be a much comprehensive site on information about solutions we are working on in Bumbuli.

Asanteni sana.
January

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. safi sana mh. January M. kwani inaonekana unataka kuweka transparency ktk uongozi wako Bumbuli. na uongozi ambao ni mordenized! Keep up!

    Jacob Furaha.

    ReplyDelete
  2. SAUTI HAKUNA ILA PICHA NI SAFI SANA

    ReplyDelete
  3. Mh January: safi sana. Lakini cha kushangaza umeandika na ninaomba kunukuu hivi "It is basically a source of information on Bumbuli, my personal self, and events and activities we will be pursuing there" - mwisho wa kunukuu.

    inaonyesha katika sentensi yako kama vile wewe hauko pale uko sehemu nyingine na unatekeleza majukumu ya kuendeleza Bumbuli ukiwa aidha dodoma au dar.

    Naomba usahihishe hiyo sentensi. In future, have a few people look at your writings before posting them out to public. Otherwise, good start.

    Ni mimi, February

    ReplyDelete
  4. Hapa umekuna;story ya maisha yako inasisimua ila iweke kwa kiswahili wasome watu wengu nao wahamasike;

    ReplyDelete
  5. Sasa mbona ulivyokuwa ikulu hukuwatengenezea site kali kama ya kwako?haiwezekani mbunge ana website nzuri kuliko ya serekali.

    ReplyDelete
  6. Yah ni kweli ajitahidi pia kucheki Kingereza chake. Awape watu wenye usoefu huo wafanye. Si lugha yetu. Pia hongera kwa kuonyesha mwanga, ila ingependeza zaidi kama na wanabumbuli wangewezeshwa namna ya kuaccess inf zao.

    ReplyDelete
  7. I am impressed with your personal story and in fact it almost resembles mine but I'm not in the public arena. In all honesty, my impression of you is your dad's reputation (no offense). Your humble beginnings will make you a great leader.

    It seems you have enough influence on our president and it is not too late to advice him to accept democracy by letting opposition control different municipalities.

    The new generation of leaders is people like you who have traveled around the globe and know what democracy entails.

    Wishing you a nice future in your political career and maybe I’ll join you in Tanzania to lead this great nation of ours. God Bless Tanzania!

    ReplyDelete
  8. Mnyika nae atakuja kuiga haraka sana Chadema kazi zao ni kukopi na kupaste.hivi sasa wameona wenzao cuf wameandamana na wao wakaandama cha moto wamekiona.kanyika sijakaona kwenye maandamano au kamenyuti.

    ReplyDelete
  9. The guy has impressed me. He is focussed and intelligent. He is down to eath and I like his story. Big up brother!

    ReplyDelete
  10. Congratulations and keep up the good work!!

    You are a man of great vision.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  11. Anony was 10:37 kweli kabisa! It's such an embarrassment. Website za serikali zinatia AIBU, and this one too I'm sorry to say. They year is 2011 Michuzi, it's all about improving your craft. Try making your site a bit more organized and easy to navigate. Na saa zingine tunapenda kusoma habari ingekuwa vizuri kuwa na archives jamani. This is one of the most important new sources we have on the web as Tanzanians, it should look better.

    ReplyDelete
  12. Hawa ndio mtu wa vitendo..sio wale wenye kuandika insha ya kiingiresa murefu kwa michusi ..na kugombea umaalufu yaani machaka na USABloger..

    ReplyDelete
  13. Hongera Januari. Ingawa umejitahidi sana kuji-portray kama mtu uliyekulia na kuishi kwenye mazingira magumu udogoni mwako, ukweli unabaki pale pale kwamba umezaliwa, umekulia na kuishi kwenye mazingira ambayo ni very privileged ukilinganisha na watoto wengi wa kitanzania.na kwa kiasi kikubwa mafanikio yako yametokana na hali hiyo. PERIOD

    ReplyDelete
  14. Good work mh.mgosi, na ni mwanzo mzuri sana wa kuonesha nia,dhamira na ghera ya kuendeleza ndugu zetu wa bumbuli. keep it up!
    nashauri ushirikishe watu wajuao kiingereza kabla ya kupost kwani kuna makosa mengi ya kilugha!pamoja na kuwa si lugha yetu, basi tuandike kiswahili, na kama ni kiingereza basi kifanyike cha ukweli, hasa ukizingatia hadhi yako sasa. kwa ujumla umechapa kazi kaka, na sisi tupo nyuma yako.

    ReplyDelete
  15. Hii imetulia. Ni vizuri ungeongoza mradi wa kuboresha web sites zote za serikali: Ikulu, wizara, mahakama, bunge, etc. Ni aibu kwa wewe kama mbunge kuwa na web sites nzuri kuliko serikali yenyewe

    ReplyDelete
  16. Tarehe Thu Jan 06, 12:58:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous

    Mimi ninakubaliana na huyu mtoa maoni kwani hata mimi historia yangu iko hivyo hivyo na pia nina elimu kubwa kukushinda. Nimeishi Tanzania miaka 18 nikiifanyia serikali kazi zake bila hata kiinua mgongo. Nimeishi nchi za nje pamoja na marekani unayoisema kwa muda mrefu pengine kuliko wewe. Nimekutana na magavana karibu wa state zote (isipokuwa alaska - unapoona ndege za urusi ukiwa nyumbani - shangaa!!!)! Nimeonana na maseneta wengi, pamoja na BO mwenyewe kabla na hata baada akiwa raisi. Ambacho sina ni kwamba baba yangu ni mkulima na hakuwahi kufikia hapo alipo babako wewe. Sasa ni lazima tukubali si nguvu zako mwenyewe zilizokufikisha hapo, bali pia influence (neno la kiswahili ninalikosa hapa) ya mzee.

    Haya, ni mimi February

    ReplyDelete
  17. January,

    I have been in Europe for the last 15years of my life, and what I see in you is great vision, confidence and a TRUE ROLE MODEL in politics.

    it is such a CLEAN and precise politics we have been waiting for, you have my support all the way, I am sure you will set a benchmark and precedence on all political stages, powerhouses from Diwani to MP, and show them how to behave, engage and most importantly what it is meant to be politician and serve the people who have chosen you as MP, if that be Bumbuli or Mwanza. it is such a TRANSPARENCY in our politics, going to another level, unprecedented.

    But again, tell Ba Makamba to step out the way to give you a clear way to proceed.

    Congratulations,

    By Mchangiaji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...