WWW.MYTANZ.COM ni mtandao ambao kila mdau anaweza kuuza vitu,nyumba,gari na hata kupost Kazi. Unaweza kuweka videos na vilevile tangaza Events zako bure.. angalia mambo ya mytanz.com

1)Tangaza Biashara yako Bure!
2) Upload na angalia videos Bure!
3) Weka party au event yako kwenye Kalenda yetu- Bure
4) Azisha forum au jiunge na forum mbali mbali.. zipo zaidi ya 30
5) Soma news na chat na marafiki- Bure
6) Kama unauza Gari au kitu chochote tangaza bure
7)Weka Profile yako na utapata forum.- Bure
8) Madalali tangaza biashara bure - Bure
9) Jiunge na www.mytanz.com na upate huduma
10) Hatucharge hela yoyote.. FREE
11) Angalia Classified na uweke chochote unachotaka kuuza.. Hata sura.
12) Check vyumba au pangisha chumba - Bure
13)List bars na clubs- Bure
14) Uza vitu vyako binafsi.. simu , mashuka etc..

Heri ya mwaka mpya
Bofya http://www.mytanz.com

WADAU WA http://www.mytanz.com

MYTANZ.COM is a free social site to find to sale and buy and do almost everything online!!

Ukiwa Dar, Mwanza, UK , USA or Iraq.. karibu www.mytanz.com
Mdau wenu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kwanza kabisa naomba nikupe heri ya mwaka mpya na nakutakia kila la kheri katika mwaka huu mpya kaka mithupu
    kaka naomba uiweke hii ili wadau wote waone na washiriki kuchangia katika mambo mbalimbali ya nchi yetu kwa kupost picha na projects mbalimbali za maendeleo zinazoendelea nyumbani, project na picha za utalii tanzania dumbukiza humu http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=803392, picha za vikangua anga vya dar na zanzibar dumbukiza humu http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430948, http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430948&page=26, au nenda page ya mwisho, tupo page ya 29 kwa sasa, nchi nyingi wapo page ya karibia mia mbili.
    picha za DART (dar es salaam rapid transit) au DAR BRT system dumbukiza hapa http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1191319, kwa tanzania projects and general construction weka hapa
    http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1180275, tanzania roads and highways dumbukiza hapa http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1265595.
    pia tunaomba wadau kama mna snepu za jiji la dar usiku pia mpost , pia tunashauri kama tutapata dar skyline, kutoka walimu house pale ilala boma kuelekea CBD, posta, au kutokea kigamboni, panorama pia litakua bomba liwe la usiku au mchana.
    asanteni sana na kila la kheri kaika mwaka mpya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...