Home
Unlabelled
mambo ya nathan mpangala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! umewapatia wewe hata sijui niseme vp,nway picha inajieleza big up mkubwa.
ReplyDeletehe he he hii cartoon ipo juu.Natumai ndugu zetu wamejifunza na hawatarudia.
ReplyDeleteMichuzi hii ni kali kupitiliza,waandishi kuingia bila zana zao ni sawa na kuingia uchi.
ReplyDeleteDU! hii kali
ReplyDeleteAnkali wewe ulikaa nyuma au mbele. Hata ile tisheti yako hukuruhusiwa kuivaa.
ndugu zangu Wa Salaaaam alaykum!
ReplyDeletejamani nyie mmeelewa??
sisi wenye small vichwa tunaomba kufafanuliwa.
bwana ali ni nani?
no problem ; what was the problem??
infact hata ungetaka tuyache getini tungeyaacha tu baba; ni MANINI yanatakiwa kuachwa getini?
call a spade a spade and help clarify..
asante.
Nakubaliana na wewe Nathan, wahariri walioshiriki mkutano na huyu jamaa si wazalendo, sio professionals, sio wapiganaji, ni 'yes sir' kila kitu, sijui walipewa bahasha? Yeye ni nani mpaka akatae kupigwa picha? Aliwaitia nini sasa! Watakubalije mwaliko wenye masharti ya kijinga namna hiyo? Na kama yeyote angempiga picha angemfanya nini!? Kweli wemedhalilishwa, wamevuliwa nguo kama katuni yako inavyoonyesha, ni aibu kubwa kwa taifa kwamba mpaka vyombo vya habari tena wahariri wanazuiwa kufanya kazi yao kwa haki nao wanakubali!
ReplyDeleteHahahahaha....kwa kweli hii safi! Big up Nathan. Haya ndo yalitokea...!
ReplyDeleteHalfu jina lake..Ali Hadaiwi...heheheheh
haahaa umewapatia donge lao. Welldone
ReplyDeleteduu kweli somo la haki na sheria linabidi lianzie kufundishwa chekechea...
ReplyDeleteHii ndiyo bongo! kama samaki... twavuliwa tu.
ReplyDeleteHongera Nathan kwa display picha ambayo inajieleza vizuri!!
ReplyDeleteWaandishi wajifunze kutokana na katuni hii,
mtu aliyeleta utata wa dowans tena hataki kupigwa picha...
Haikubaliki!!
wapi ?uhuru wa vyombo vya habari na watenadaji wake?
ReplyDeletemwarabu anaingia nchini na kutunga sheria zake ambazo
wandishi wa habari wanasalimu amri mbele ya mwarabu,
nchi kwishney
Kwa nini muwalaumu waandishi wa habari? Wanaosimamia haki za wananchi wako wapi? Nyie kama mmekunywa pombe, waandishi walipewa kitu kidogo, shida yao ni nini. Ufisadi wa Dowans ni tatizo la waandishi au ni la watanzania wote. Wote tuamke tupigane vita ya Dowans.
ReplyDelete