Spika wa Bunge Mh. Anne Makinda (katikati) akizungumza na Wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama Jijini Dar es Salaam leo. Huu ni utaratibu mpya ambapo Spika anapenda kusikia, kuona na kushauri kuhusu yanayojiri ndani ya Kamati za Bunge.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mh. Zungu (kushoto) akimkaribisha Spika Makinda kwenye Kamati na kumpa muhtasari wa mahitaji na matarajio ya kamati hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naomba kuuliza Kamati za Bunge zinatumia vigezo gani kuwachagua wanakamati wake? Kwa mfano kama hii ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama hawa wanakamati wamechaguliwa kwa vigezo vipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...