Katibu Tawala wa Wilaya ya Tarime Ernest Kabohola akipokea baadhi ya nyaraka zilizofanyiwa kazi na Tume pamoja na vipeperushi kwa ajili ya wilaya yake kutoka kwa Ofisa Sheria wa Tume Judith Kakongwe.
Ofisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Judith Kakongwe akiwasilisha mada juu ya Sheria ya watu wenye ulemavu katika warsha ya elimu ya sheria kwa umma iliyofanyika wilayani Tarime mkoa wa Mara, katikati ni Katibu Tawala wa wilaya ya Tarime Ernest Kabohola na kulia ni Ofisa Sheria wa Tume Shadrack Makongoro.
Dada Judith upo juu !
ReplyDeleteEndeleza kazi nzuri tuliyoianza pale UDSM.