Mchezaji Mbwana Samatta akijiandaa kumtoka mchezaji wa Cameroun Kwin Noe Kwenye pambano lao leo uwanja wa Taifa ambapo vijana hawa wa umri wa chini ya miaka 23 waliwabanjua wageni hao kwa penati 4-3 baada ya dakika 120 kushinda bao 2-1. Tanzania pia walifungwa 2-1 huko Cameroun wiki mbili zilizopita
Manyara Stars wakifurahia ushindi
Cameroun wakiwa wamelowa baada ya
kubanuliwa na Manyara Stars


Timu ya Polisi Wilaya ya Arusha.
Timu ya Polisi ya Wilaya Kati jijini Arusha.
Wageni na wadau mbalimbali wa ulinzi shilikishi na michezo wakiwa jukwaani wakati wa ufunguzi huo.
Mfadhili Mkuu wa Mashindano ya Kamanda Andengenyi (Andengenye Cup) ya kuhamasisha jamii kwenye swala la ulinzi shilikishi na Rais wa RBP Oil and Industrial Technology, Rahma Al-Kharosi akizungumza na waaqndishi wa habari mara baada ya ufunguzi huo.
Wachezaji kutoka Kata mbalimbali za Jijini Arusha wakiwa kwenye maandamano ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Kamanda Andengenyi(Andengenye Cup) ya kuhamasisha jamii kwenye swala la ulinzi shilikishi, yaliyofunguliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Isdory Shirima,kwenye kwenye Uwanja wa Shekh Amri Abed jana.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Isdory Shirima (tatu kulia) akizungumza na wachezaji kabla ya mechi ya ufunguzi kuanza.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Isdory Shirima akikagua timu ya Polisi Wilaya ya Arusha wakati wa ufunguzu huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi tuwekee mambo yanavyokwenda DODOMA...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...