Mdau Khatibu Abdillah Makenga na mai waifu wake Fatma Ally Juma wakiwa katika mnuso wao wa nguvu katika ukumbi wa Brigade Mess ulioko Lugalo Jeshini jijini Dar usiku wa kuamkia leo, baada ya wapendanao hawa kumeremeta siku ya Ijumaa huko Kimara kwa Msuguri jijini DarWafanyakazi wenzake Bw. Harusi wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajab Gamaha wakipozi na maharusi
Maharusi wakpozi na Kamati ya maandalizi chini
Maharusi wakpozi na Kamati ya maandalizi chini
Hongera sana Fatma, Mungu amekupa yule unayemstahili, Mume Bora.
ReplyDeleteMbarikiwe sana na muwe na ndoa yenye furaha, amani upendo, mafanikio na Baraka tele.
Khatibu, take an xtra care of her, it's an order!
From Friend from High School to UDSM & Forever.
Kaka! Kaka! Kaka! Sasa hivi tulia nyumbani. Yale mambo yetu yaleeeee, waambie sasa hivi basiiiii. Wife wa nguvu. Hongera sana.
ReplyDeleteYes Fatma she deserve it n Khatibu either..
ReplyDeleteUDSM mate
Sebbo, hongera kaka!
ReplyDeleteWishing u all the best in ur new life!
Be blessed!
OWINO OKO Butunda
wish all the best bro in ur new world life .
ReplyDeleteur bro from ireland .
anau
Wow!! Nice nice nice!! Hongera sana Fatma ! I am sooo proud of you girlfriend. You rock!!!
ReplyDeleteKisses (Friend from UDSM)