Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt Christine Ishengoma akiwa ndani ya ndege ya shirika la Indigo Aviation siku ndege hiyo ilipozindua safari zake kwa abiria kati ya Dar es salaam na Songea mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa ndege wa mjini Songea.Ndege hiyo inafanya safari zake kati ya Dar-Songea kila Jumatatu na Ijumaa.Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii, Ruvuma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2011

    Waw jiyo safi sana maana tulishachoka kusafiri siku nzima
    sasa nauli bei gani?
    wapi tutanunua ticket?
    Mdau wa Iceland

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2011

    hawa indigo campuni ya wa hindi wamenunua ndege mpiya kupeleka india , sasa naona zile za zamani wanatuletea sisi tanzania. ila safi naona sasa tanzania mwake usafiri wa mabasi soon utaisha.
    mdau china

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...