Wafanyabiashara wa supu ya magongoro wakiandaa kwa ajili ya wateja wao katika stendi kuu wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma,ambayo huuzwa kati ya tshs 1000 na 1500 kutegemea na ukubwa wake.
Mchuuzi wa Samaki wakavu aina ya perege akipanga kitowep hicho katika mazingira ambayo siyo salama kiafya kwa walaji kama alivyokutwa na mpiga picha wetu Muhidin Amri mjini Namtumbo hivi karibuni
samahani kwa kuangalia kwangu ,nadhani hao si perege ila ni kambale
ReplyDeleteasante
picha ya kwanza ndugu zetu wanapenda kuita kapili au kapiri (siyo supu)na inakuwa sevd na pilipili kwa wingi na picha ya pili ni ze kambales. Mahali hapo kwa jamaa karibu vitoweo vingi ni imported kutoka nje ya wilaya.
ReplyDeleteby mtani
Hao sio perege kama mwandishi na mpiga picha walivyosema hao ni KAMBALE niaina ya samaki wanaopatikana kwenye maji baridi na yasio na chumvi.
ReplyDeleteHao sio KAMBALE bali ni KAMBARE.
ReplyDeleteMichuzi
ReplyDeleteHawa waswahili watoka wapi
Tangu lini samaki hawa wakavu na waliopindwa waitwa kambale?
Where is the SPS,
Swahili Preservation Society
Du mwandishi hapa kachemka sana. Hawa si perege ni kambale. Tena hawajafika kiwango cha kuwaita kambale, kwa ukubwa wao tunaweza kuwaita SHETA. Lakini hakuna noma, umenikumbusha Ifakara
ReplyDelete