Muwezeshaji wa Kampuni ya Pearson Long Man Tanzania inayojihusisha na uchapaji wa Vitabu vya shule za awali na vyuo nchini, Maria Ellokelo,akitaoa mafunzo kwa walimu waliohudhria mafunzo ya siku tatu ya uwezeshaji wa shule za awali jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya uwezeshaji wa Walimu wa shule za awali katika shule za Msingi jijini Dar es Salaam,wakijadiliana katika mafunzo hayo yaliyotolewa na Kampuni ya kuchapisha vitabu nchini ya Pearson Long Man.Jumla ya Walimu 90 wanapata mafunzo hayo.
Mmoja wa Walimu kati ya 90 waliohudhuria mafunzo ya siku tatu ya Uwezeshaji wa walimu wa shule za msingi jijini Dar es Salaam,Getruda John kushoto akimwonyesha Mratibu wa Elimu ya Awali,Clarence Mwinuka wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi wa pili kulia na Ofisa mwandamizi wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya Long Man,Belinda Mafuru mafundho hayo yamedhaminiwa na Kampuni ya Uchapishaji wa vitabu nchini ya Pearson Long Man.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...