Baadhi ya walimu wa Shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye hafla ya mahafali ya Saba (7) katika shule hiyo.
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la sita wa shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakiongozwa na muongoza kwaya kuimba wimbo wa kuwaaga na kuwapongeza wahitimu wa kidato cha saba katika shule hiyo hapo jana.
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la pili wa shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakitoa heshima ikiwa ni ishara ya heshima ya kuwaaga wahitimu wa kidato cha saba katika shule hiyo ilyofanyika mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wahitimu darasa la saba (7) katika shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakifuatilia hotuba ya Mgeni rasmi katika hafla hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hivi kumbe "Majoho" hata chekechea, primary na Secondary wanavaa tu. Hebu mnisaidie wadau labda mimi sijui maana ya kuvaa lile "JOHO" nlidhani mtu analivaa pale tu "anapotunukiwa Cheti cha Elimu ya Juu yaani Stashahada, Shahada, n.k"...km ndivyo basi "vasi" hili muhimu litakuwa limepoteza uthamani wake na halitendewi haki tena.

    ReplyDelete
  2. Mtoa maoni ya vazi usijali...hawa watoto wanasoma si mchezo...mwanao akianzia hapaSt Therese ni bomba. ila masista wanapaswa kusoma psychologia ya watoto.Huwa wanakuwa kakali sana kwa watoto,kosa la kawaida wao huliona kubwa sana, na watoto hupewa adhabu zilizopitiliza.

    Lakini nawapongeza kwa kazi nzuri ya ufundishaji....

    ReplyDelete
  3. Shule nyingi za masista hufanya vizuri ktk mitihani yao..lakini masista wapunguze utesaji kwa watoto wanawaharibu kisaikolojia

    ReplyDelete
  4. Joho siku hizi halina thamani tena hadi chekehea wanavaa, wakati zamani ulikuwa unatamani kusoma kwa bidii ili siku moja ukavae pale mlimani, siku hizi hta wewe waweza kujishonea lako ukatinga nalo mtaani mazee!

    ReplyDelete
  5. Naona haya majoho hayana hadhi yake take, enzi zetu in the 1970ilikuwa yanavaliwa na wana chuo kikuu to. Hata hapa ulaya sijaona au kusikia yanavaliwa ovyo kama ilivyo huko Bongo. What a joke. Wana vyuo kikuu wanavaa nini sasa kama primary school nao wanavaa hayo. Hayo majoho yana heshima zake, yaani umekuwa mtaalaam ktk fani fulani. Darasa las saaba hata kuandika hawajui. Geee wake up Tanzania

    ReplyDelete
  6. Hao watoto wanaopiga gwaride wamenifurahisha sana....na saluti juu ha ha haaa!!

    ReplyDelete
  7. Ndugu,hata huku nje majoho huvaliwa na chekechea. Bila shaka na ni jambo la kawaida tu na sio bongo pekee.

    ReplyDelete
  8. Hi there! Nice stuff, do keep me posted when you post again something like this! primary school kubwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...