Mdau Baraka Mwaluvadzile akiwa na my waifu wake Gloria wakipunga upepo wa beach mara baada ya kufunga ndoa yao kanisa la Azania Front,jijini Dar hivi karibuni.
Bwana harusi Baraka na bi Harusi Gloria wakiwa wamepozi na wapambe wao baada ya kufunga ndoa kanisa la Azania hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mmependeza hongereni sana

    mdau uk

    ReplyDelete
  2. perfect dress. Nyie ndio mnakwenda na wakati. Hongereni.

    ReplyDelete
  3. nice dress my dear, wish wengine waige dressing yako.

    ReplyDelete
  4. Nc pic. Congrats baraka n glry. Hpy lyf ahd. Kevo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...