Mrembo Rose Albert akionyesha kipaji chake katika siku ya kumtafuta Vodacom Miss Talent 2011 ambapo alifanikiwa kunyakua taji hilo, usiku wa kuamkia leo katika hotel ya Giraffe jijini Dar es Salaam
 Majaji wa shindano la Vodacom miss Talent 2011 wakiwa kazini,kutoka kushoto Jacqueline Walper,Rachel Sindbard,Bosco Majaliwa.



 Baadhi ya warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania wakipozi kwa picha katika kinyang’anyiro cha Vodacom miss talent 2011 ambapo Rose Albert  alifanikiwa kunyakua taji hilo, usiku wa kuamkia leo katika hotel ya Giraffe jijini Dar es Salaam.
 Warembo tano bora waliofanikiwa kuingia katika kinyang’anyiro cha Vodacom miss talent 2011 ambapo Rose Albert watatu toka kushoto alifanikiwa kunyakua taji hilo usiku wa kuamkia leo katika hotel ya Giraffe jijini Dar es Salaam
Vodacom Miss Talent 2011 Rose Albert akiwapungia mkono watazamaji  mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa shindano hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...