Safari ya kupata somo ya jinsi kutengeneza Nyama-choma na mbege toka kwa wenyeji wa Arusha na Kilimanjaro nchini Tanzania:
Home
Unlabelled
namna nyama choma orijino na mbege zinavyotengenezwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kaka, you made my day!! Aika mbe, ndede shen!!! you made mu day... this clip will go straight to my FB page... Remain blessed! Eliangireriasia.
ReplyDeletethis guy says "spectacular", "amazing" "so rich food" "great food"...but the name of the program is "BIZARRE FOODS" he he heeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteVery interesting. Nina swali moja kwa wachaga: wakati nasoma moshi miaka ya tisini niliwahi kusoma kwenye jarida moja lilikuwa linatolewa na KKKT dayosis ya kaskazini lilikokuwa na kichwa cha habari SIRI YA MTUNGI kwamba mbege ikishalala inakuwa NGERA. Na ili kuepuka kuwa ngera inachanganywa na mavi kidogo ya binadamu. Je hii ni kweli?
ReplyDeleteNgera ni pombe ambayo haina quality nzuri na kipato chake ni kidogo. Kwa wahehe ingeitwa MKANGAFU.
thanks to whoever sent this video clip to Michuzi,and much thanks to TRAVEL CHANNEL to take their bid for this wonderful culture exposure,exploration and experience.Am very proud TAnzanian and proud to be from Africa.
ReplyDeleteGod bless Africa,Godbless TANZANIA, God bless Michuzi blog.
I dearly missed TANZANIA.
BAYarea-california.
Thanks for sharing. Great documentary. I didn't know even myself how Mbege is prepared.
ReplyDeleteOoops hii post imenikumbusha nyumbani Moshi, Mbege, Kiburu na Kisusio lol, nimefurahi sana thanx kaka Michuzi kwa kutuwekea hii.
ReplyDeletekwa kweli imetukumbusha nyumbani kwetu Moshi, nikiongezea hapo bila kusahau ngararimo, shilo nk, tunamshukuru sana Mungu wachaga kwa kutumia ndizi tu tunaweza kutengeneza vyakula mbalimbali. Pia kwa kumjibu mwenzetu hapo juu, pombe ikilala inaitwa NGERA ili iwe pombe nzuri tena unapikwa uji kwa kutumia unga wa ulezi halafu inachanganywa nakurudi tena sokoni kama kawaida.
ReplyDeleteCalifornia