Wadau Kaposo B. Mwambuli na Matilda Kiverege wakipozi baada ya kumeremeta jana katika kanisa la Kilutheri la Kinondoni jijini Dar, kabla ya kuelekea kwenye mnuso wa nguvu Hellenic Club. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera sana Matty Nikutakie maisha mema yenye Raha Furaha na Upendo

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana..Mimi kama mdau wa ndoa huwa napenda kutoa ushauri mdogo kwa wana ndoa..Ndoa kuna wakati zinakuwa na misukosuko(siombei itokee lakini sisi ni binadamu)..kuna wakati mimi na 'mamsapu' wangu tunapiga wiki nzima bila kuongea kwa room,kununiana kwa kwenda mbele..!Mvumiliane,mjitahidi sana msitoe nje siri za ndani ya ndoa yenu..Nawatakieni ndoa yenye furaha.

    Ni mimi

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...