Juma lililopita wanajeshi wa majini wa Tanzania, Malawi na Msumbiji walifanya mazoezi ya pamoja ndani ya ziwa Nyasa ya jinsi ya kukabiliana na maharamia. Mazoezi haya yanatokana na maagizo ya nchi wanachama wa SADC.
Balozi wetu nchini Malawi Mh. Patrick Tsere alihudhuria sherehe za kufungwa kwa mafunzo hayo ambapo walionyeshwa mazoezi hayo ambayo yalifanyika katika mji wa Salima ulioko kwenye ufukwe wa Ziwa Nyasa.
Balozi Tsere akizungumza na Major General John Msonthi, Mnadhimu Mkuu (Chief of Staff), wa Malawi Defence Forces (MDF)
Balozi Tsere akiwa na askari wa Tanzania waliohudhuria mazoezi hayo.
Balozi akiwa pamoja na Major General Msonthi.
ukimpiga picha mheshimiwa kwanza muweke tai yake vizuri ,
ReplyDelete