Mh.Seif Ali Idd,Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,akiwa na Naibu Balozi Mama Munaka wakielekea chumba cha mkutano Ubalozini hapo. Kwa Picha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR ATEMBELEA UBALOZI WETU WASHINGTON,DC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
dr Mukama, Kumbe umekuwa afisa ubalozi marekani? Very soon utakuwa full balozi. Big up sana.
ReplyDeleteMdau Moro
Michuzi, Muheshimiwa Seif Ali Idd ni makamu wa rais. Haina haja ya kumwita balozi wakati umakamu wa rais ni heshima ya juu zaidi. Just call him makamu wa rais.
ReplyDeleteNamfagilia sana huyu Mzee Seif A Idd there is something potential in him. God Bless you. The admirer
ReplyDelete