Kushoto ni Nape Moses Nnauye,Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi(Ideology and Publicity Secretary) akiwa pamoja na Sixtus Raphael Mapunda,Katibu msaidizi mkuu Itikadi na Uenezi(Principal Assistant Secretary) ambao wamekuja mahususi kwa shughuli za Chama hapa Washington,DC Nchini Marekani
Dj Luke Joe(kulia) akipata Ukodak Moment na Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi,Nape Moses Nnauye

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Da Nape naye kapata katrip ka Mamtoni sio. Hongera. Sasa kazana ili ugombee Urais hapo 2015!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...