Mwenyekiti wa CCM,Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM leo katika ukumbi wa 'White House' kwenye makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Halmashauri Kuu ya CCM wakiwa kwenye kikao hicho leo katika ukumbi wa  'White House' kwenye makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wakiongozwa na Mwenyekiti,Rais Dkt. Jakaya Kikwete kuwakumbuka wale woote waliotambulia mbele ya haki kabla ya kuanza kwa kikao hicho leo.
Kikao kikiendelea.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,Mh. Edward Lowasa na Mh. Fredrick Sumaye wakisalimiana.katikati yao ni Mzee Kingunge Ngombaremwiru .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Kumbe mwalimu alisema bila CCM MADHUBUTI. SASA IVI TUNA CCM MAFISADI. NCHI ISIYUMBE KWANINI.

    ReplyDelete
  2. WE NAPE ACHA KUMPA MKONO UYO MWIZI TU. AU NAWEWE MWIZI KAMA WAO.

    ReplyDelete
  3. Hivi spika ni chama gani vile hana sare au mimi mshamba macho hayaoni vizuri?

    ReplyDelete
  4. 1.shikamoo mzee Lowasa
    2.lowasa,malahabaa Nape
    -moyoni..angalia kijana na siasa zako za magamba,hiki ni kisiki.
    3.Mzee Sumaye,-Teheeee
    4.Ngombaremiru- ( moyoni,mmh huyu kijana...)
    5.Kalamagi,-mnaiona hiyo?
    6.Kina mama wenye miwani,-kalamagi ,acha uchokozi
    7.Mzee abood, .. i cant imagine...
    8.jamaa kulia kwa Abood,kablasha halisomeki,anaangalia mchezo mtamu,no comment.....

    PICHA SAFI SANA HII,HAHAHAHAA KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI,ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI,CCM HOYEEE,WOTE TUSEME HOYEEEEEE,HAHAHAHA,WEWE UNAYEKATAA KUSEMA TUTAKUPELEKA GEZAULOLEEE,HAHAHAAAAAA

    ReplyDelete
  5. Nnauye, umefanya jambo la kiungwana sana.

    ReplyDelete
  6. Wewe unaemwita mzee LOWASSA mwizi angalia sana! wenzako chadema wanamtamani, wanaomba CCM wamteme wamdake, ila CCM imeshtukia!..mchango wa huyu mzee kwenye 'MEMORANDUM OF UNDERSTANDING'...wee acha tuu! wewe mwenyewe huenda ni matunda ya hiyo kitu!

    ReplyDelete
  7. Kweli CCM mmezidi basi kuleni mkichoka tuachieni, na mkituachia tutaijenga na vyama pinzani nchi yetu. Amina

    ReplyDelete
  8. Siasa za Kitanzania zinachosha kwa kuwa ni za maslahi ya watu fulani fulani, Mpaka lini watanzaia?

    ReplyDelete
  9. Watanzania Watanzania.....X1000. Kila mtu anaelewa, kila mtu analalamika lakini hakuna wa kuchukua hatua sahihi. Kidogo, abgalau CHADEMA wamejaribu na sasa kila kukicha watawala wanatumia jeshi la polisi kuwakandamiza CHADEMA na wananchi. Ikumbukwe, jesi la polisi kwa sasa hawafanyi kazi zao wanazopaswa kufanya ila wanatekeleza matakwa ya watawala. Lkn kama ilivyotokea Misri, Libya. etc wananchi wakiamka, hata polisi watawaunga mkono. Mimi huwa najiuliza uelewa au elimu ya hawa wenzetu washika mitutu maana kazi yao kufyatua tu....bila kujali kwamba na wao wanatetewa maslahi yao na wanaoandamana. Badala ya kuwasaidia wananchi wapeleke ujumbe wao ili usaidie kuboresha mazingira ya nchi yetu wao wanawakataza na kuwafyatulia mobomu na risasi....ebo, Watanzania tunaendelea kuibiwa na sisi tumekaa kimya hadi Lini? Nchi ya Rwanda ni ndogo sana na walikuwa kwenye vita lakini kwa sasa wameshatupita....Mungu tusaidie, tupe moyo wa ujasiri Watanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...