Nyani Chiwawa akiwasili kufurahisha wadau wa Giraffe Ocean View Jumapili hii
mtoto sellah akijidai na zaswadi aliyopewa na Nyani Chiwawa
Watoto wakifurahia mambo ya Giraffe Ocean View 
 
Nyani Chiwawa akiruka samasauti
Wanasarakasi na Nyani Chiwawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. huyu nyani, ngedere?

    ReplyDelete
  2. iko siku nyani chiwawa atakugeuka,wewe mgeuzi kuwa mwanadamu tu.shauri zako

    ReplyDelete
  3. Jina la Zamani la iyo Hotel

    ReplyDelete
  4. Huyu ni kima sio nyani!!

    ReplyDelete
  5. Huyo ni nyani mazee, Kama unaweza Google kwa kuangalia tofauti ya Monkey(kima) na Baboon (nyani) hata kwa Image tu

    ReplyDelete
  6. Asha Ngedere

    David V

    ReplyDelete
  7. Kuna tofauti kati ya Ngedere(Monkey) na nyani(chimp).
    Huyo ni Ngedere sababu ana mkia.
    Nyani ni yule asiye na mkia.Nijuavyo.
    Google monkey and Chimp differences.

    ReplyDelete
  8. mbona mix nyingi wadau.. Kwanza mmejuaje kuwa kima ni monkey, nyani ni chimp au baboon, pia ngedele ni monkey? Mnanchanganya

    ReplyDelete
  9. aisha ngedele madinda?

    ReplyDelete
  10. Kwa lugha yenu mmeshindwa kuelezea, huyo ni myama gani mpaka mmevuka mipaka kwenda nga'mbo: Mankey, baboon, chimps; Inaonyesha jinsi mulivyo bado watumwa.Kitu munakiona kwa macho yenu!!!Kweli ulimbukeni huu. JK huna watu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...