Hatimaye mfalme wa miondoko ya mduara,Mzee Yussuf amewasili jijini New York kwa ajili ya ufunguzi wa ziara yake nchini marekani. Pichani ni Mzee Yussuf katikati akiwa na wenyeji wake hapo nchini Marekani Mao Luangisa kushoto na Tahir Gharib kulia. Wakazi wa New York na vitongoji vyake kaeni mkao wa Kulambaa Jumamosi Jan 21.
Home
Unlabelled
mzee yussuf atua jijini New York tayari kwa kuwalambisha wakazi wa huko
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ninavyofahamu mimi Taarab inanoga ikijumuisha waimbaji pamoja na muziki wa ala(vyombo).. sasa huyu yuko peke yake inakuaje? au Taarab nayo yawekewa CD halafu afuatishe kwa nyuma.. haya!
ReplyDeletemdau 03:44usijali hayo ndio maendeleo lakini hujakosea usemayo ni sawa
ReplyDelete