Mkuu wa mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa huo akizungumza wakati wa kikao kati yake na wazee wa wilaya ya Songea wenye lengo la kumaliza mauaji ya watu wasiokuwa na hatia yanayofanywa na watu wasiojulikana katika mji huo wa Songea.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma,Kamishina Msaidizi Mwanadamizi,Michael Kamuhanda akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari wa mkoa huo waliotaka kujua hali ilivyo hivi sasa katika mji wa Songea baada ya kutokea maandamano yaliyosababisha vifo vya watu wawili na watu kadhaa kujeruhiwa na polisi.
Baadhi ya Wazee wa Wilaya ya Songea wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu (hayupo pichani) wakati wa kikao kati yao na serikali ya mkoa huo kutafuta namna ya kuurejesha mji wa Songea katika hali yake ya kawaidia kutokana na vurugu zilizotokea hivi karibuni kati ya polisi na wakazi wa mji huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. 100% confidence levelFebruary 26, 2012

    In a real sense,the Regional Commissioner of Ruvuma has proven an acute failure in handling the matter(though he can not realize this truth).The matter of innocent citizens killings by both the unidentified group of criminals and the police force where to be dealt before the citizens demonstrations and the regional security council finding the viable solution with elderly group respectively.
    To my surprise the RC is now calling the elderly of the region for mutual consensus,the idea and action which is illogical in minds of the intellectuals.
    Advice: In future incidents of the same scope,the leaders should act proactively before further damages and peace distraction in the regions of conflicts of this nature and magnitude.

    ReplyDelete
  2. Whenever a leader has a muslim name, he is a failure. I remember somewhere there was this student who had a christian name and the guy who was handling student issues was helping him a lot until one day the student told the guy that I will come back after friday prayers, he was shocked to be told although he had a christian name, he was a muslim and from that day he stopped being nice to him. The student knew from stories of his fellow muslims the way they were treated in that office, except him he was getting better treatment than his fellow muslims, but they told him not to change his name to see what is happening. Maandamano ya usalama Watu wanarusha mawe????? come on give us a break, imekuwa mapambano.

    ReplyDelete
  3. Mchangiaji wa kwanza YOU ARE PATHETIC!!! Unahitaji kupelekwa wodi wa vichaa pale Muhumbili

    ReplyDelete
  4. Nadhani Mchangiaji wa kwanza anaeleza ukweli na si pathetic. Mchangiaji wa tatu haeleweki. Hebu fananua upathetic wa mchangiaji wa kwanza unatoka wapi?

    ReplyDelete
  5. Mchangiaji wa Sun Feb 26, 08:44:00 You are uneducated refugee in Tanzania who's so blinded by ignorance that you can't see things straight. The president must deport you back to your little country where you kill each other because of ignorance.

    ReplyDelete
  6. Try to keep your faith in your heart and be good and show your citizen to all.
    Muslim name?
    christian name?
    where did this coming from?

    Its about Tanzanians and we are Tanzanians,can we be united?Can we care to each other?

    ReplyDelete
  7. Magazeti Patrick nhigulaFebruary 27, 2012

    @Wote, "we all one people"; Tanzanians , please get back to your roots to cherish love, unity, and respect. Killings and access use of forces are signs of moving backward! Listening to your neighbors issues and problems and reach out the consensus that intent to build and not to destroy your lives.

    ReplyDelete
  8. Swaala hapa siyo uisilam hapana, huyu bwana ameshindwa kudhibiti mambo kabla, huu ni ukweli uliowazi, kwanini usubiri watu waandamane, tulikuwa naye mheshimiwa, Saidi kalembo hapa, uliza habari zake, tulimpenda sana na mambo yake siyo mchezo anaweza kudhibiti mambo na analiliwa mpaka leo huku Ruvuma, au labda alikuwa askari ndo maana aliweza kuendesha mambo vizuri, sijui, sisi hatuna uisilamu na ukristo kama nyinyi wenzetu, mimi mwisilamu mke wangu mkristo, sijui wenyewe na udini wenu mtajiju,wala usimtete huyu Mheshimiwa tutakurushia mawe na wewe sasa hivi, hatujari wewe mkristo, mkatoriki au mwisilamu wembe ni huo. hatutaki ujinga nyamaza kabisa.

    ReplyDelete
  9. Huo ndio ukweli wenyewe na mambo ndio yalivyo, msitufanye sisi mambumbu tunaishi katika mazingira haya haya hata watoto wa shule wanaona uonevu, tutasema mpaka kieleweke wewe mwislamu mwanamke wa kikristo hata ukimwoa kwa dini gani sio mke ni hawara kwa mujibu wa dini zote mbili. Nakuhurumia sana!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. Mnaijua historia ya Songea na nani huyu songea, tafuteni, someni elimikeni.

    ReplyDelete
  11. 100% confidence levelFebruary 27, 2012

    Thanks for the positive thinking friends you have put in written format here.
    The truth is the truth and will remain the truth until me and you get expired.
    why?
    (1).Who is happy for those two types of killings happened?And who feels the pinch?
    (2).Who feels happy and relaxed when his/her blood hood member gets killed in incidents as were in the region?
    (3)What are the functions and roles of the region security council under the chairmanship of the RC?
    (4)Who to blame when such killings happen anywhere in a defined geographic locations with leaders vested with authority and power to secure the public?

    .Anyway,contributor no 3 you are not serious with what you wrote.
    .Assume if your brothers or sisters are the ones who could have been killed? would you dare to call me an idiot? or hand cup?
    .I believe that you are not a leader and your power of judging is more emotional rather than rational.You have to change or reassess yourself again and again.
    .I think your creed to your God is weak make it active then you can realize the reality of issues.

    Lastly,i am for giving you for whatever you said upon me.And if possible,forgive me for whatever i have said upon you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...