Mwenyekiti wa Tume wa Ufuatiliaji tatizo la Umeme katika Soko la Mchikichiini,Mussa Kitakuru Kweka (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu matatizo ya Umeme na Soko la Mchikichini pamoja na Viongozi linalowakabili wafanyabiashara hao. (katikati) ni Mwenyekiti wa wanaharakati wa Soko la Mchikichini Godwin Kaison Ndabazi, (kushoto) ni Mfanyabiashara wa Mchikichini Zabibu Ally Lukuba. Wafanyabiashara hao wamemshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa kuwapatia eneo la wafanyabiashara ndogo ndogo katika Soko hilo na limeweza kuwapatia ajira ya zaidi watu 10.000/- Soko la Mchikichini limekosa Umeme kuanzia tarehe 13/12,2011 hadi leo. kutokana na kulipa deni la shilingi 23,000,000/- ambalo wamedai limesababishwa na Uongozi wa soko hilo.
Mwenyekiti wa Wanaharakati wa soko la Mchikichini Godwin Kaison Ndabazi
(kushoto)) akiongea na waandishi wa habari jijini leo kuhusu matatizo yanayowakabili ya kukosa Umeme pamoja na Matatizo ya Viongozi wa soko la Mchikichini katika Manispaa Ilala Mkoa wa Dar es Salaam-(kulia kwake) Ni Mwenyekiti wa Tume wa Ufuatiliaji tatizo la umeme Sokoni Mussa Kitakuru Kweka. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...