Mbunge wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Mh John Mnyika(Kushoto) akiwa na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi Mkuu 2010, Bi Hawa Nghumbi, wakati wakisubiri hukumu, katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kuhusu kesi ya kupiga matokeo yaliyompa ushindi Mnyika iliyofunguliwa na Nghumbi kwenye mahakama hiyo.
Home
Unlabelled
John Mnyika na Hawa Nghumbi walipokuwa mahakamani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wewe ni mtoto wangu tu,nakupenda sana kwa moyo mmoja.
ReplyDeleteMlalamikaji MPARE, Mlalamikiwa MPARE, jaji MPARE.KUDADEKI!!!
ReplyDeleteHAWA kama HAWA na JOHN kama JOHN hawana Ugomvi wowote.Tatizo liko kwa CCM na CHADEMA.Binafsi nilipenda wawili walivyokuwa 'wanataniana' Mahakamani.Vyama vya siasa ndivyo vinachangia kwa kiasi kikubwa kutuvurugia U-Tanzaniana umoja wetu.Mungu Ibariki Tanzania
ReplyDeleteDavid V
Kupingana si kupigana.
ReplyDeleteHizi ndizo siasa tunazoziitaji!ambazo zinatufanya tuendelee kuwa ndg hata baada ya kutokukubaliana na kupingana!
ReplyDeleteMdau Mkibosho Anonymous wa Sat May 26, 08:43:00 AM 2012
ReplyDelete''''Mlalamikaji MPARE, Mlalamikiwa MPARE, jaji MPARE.KUDADEKI!!!'''
HALAFU WANGEITWA WAKALIMANI KUTTA FSIRIA SISI WENGINE
NI BORA KESI INGEENDESHWA KWA LUGHA YA KABILA LA KIPARE!!!
Sema ccm ndiyo wanatuvugia utanzania wetu.
ReplyDeleteHuyu mama inaonyesha amejirekebisha jazba zake tofauti na awali, amekuwa mstaarabu kama anavyokuwa pamoja na mpinzani wake hapo Mahakamani sasa baada ya kushindwa kesi ni bora angalau wampe nafasi ya Serikali huko!
ReplyDeleteWapare wako juu mwenye wivu ameze kiwembe. yule mama wa kule UN Asha Mtengeti Migiro naye ni Mpare. Yaani tuko kila mahali, kwenye ufisadi tumo, kwenye peoples power tumo, kwenye usomi tumo, jeshini tupo, hata MHARIRI wa AN-NUUR gazeti la uchochezi naye ni MPARE!!!
ReplyDeleteHawa Nghumbi: "Kwa kweli mdogo mimi sina kinyongo kabisa na kitakacho tokea leo. Nililazimishwa kufungua kesi japo haina nguvu na aliyekuwa katibu mkuu wa CCM, mara baada ya matokeo alitoa amri kuwa wote tulioshindwa tufungue kesi.
ReplyDeleteIla ninajua kuwa jaji hawezi kukupiga chini maana mimi ninajua kuwa hawatanipa nafasi tena ya kugombea jimbo kama nilivyopata mwaka 2010. Ila ukifanikiwa kushinda kesi tusaidiane basi kulipa gharama mdogo wangu."
Mnyika: "Mi najua ntashinda tu kwani sijawa kikwazo kikubwa sana kwa watawala. Mimi ni kiungo muhimu sana bungeni na pia husaidia kuwapunguza munkari wenzangu. Ila nimekusamehe dadaangu usihofu kabisa kwenye hili mi najua wewe mwenyewe unajua kuwa nilikushinda kihalali na hata leo ntakushinda pia. Ila karibu nyama choma baadae ujisikie upo CDM."
"Baba ninakuomba uniachie hii nafasi ya ubunge. Angalau watoto wangu na wao waende kasome nje ya nchi".
ReplyDelete