Wasanii wa kundi la GYT kutoka Dar es salaam wakilishambulia jukwaa wilayani Kyela mkoani Mbeya jana ikiwa ni sehemu ya kampeni ya 100% TZ Flava inayoendeshwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kwa lengo la kuwaunganisha Watanzania nchini kote kupitia burudani mbalimbali. (Picha: Executive Solutions)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2012

    Michu za leo kaka. tafadhari waeleze washikaji kwamba ,nimeleta masipika 10 makubwa makubwa sana na mengine madogo ya saizi ya kati, jamani anayehitaji, email yangu hii hapa. jacobmayillah@hotmail.ca Michu natanguliza shukrani zangu kwako. Kazi njema.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...