Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe (kulia) akizungumza na baadhi ya wadau wa Michezo aliowaalika ubalozini hapo wakati wa kuiga timu ya Tanzania ya Olimpiki.
Mdau Frank Eyembe akibadilishana mawazo na Kocha wa Kuogelea Sheha Mohammed wakati wa hafla ya kuiga timu ya Taifa ya Olimpiki,iliyoandaliwa na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza
Msosi wa nguvu mezani.
Mh Balozi akikabidhiwa tuzo maalum na mkuu wa msafara Hassan Jarufu iliyotoka katika kamati ya Michezo ya Olimpiki.
Nyumba ya Balozi lazima itakuwa inakula bili ya gesi kubwa sana hasahasa wakati wa winter.
ReplyDeleteMaana nyumba ukuta wa vioo kama vile nyumba zilizopo ktk mitaa ya ufukwe wa bahari Dar-es-Salaam ambapo kuna joto sana.
Wizara ya Mambo ya Nje iifanyie angalau window double glazing nyumba hii ya makazi rasmi ya balozi wa Tanzania jijini London kupunguza ankra ya bili za kupasha joto jumba hili la makazi ya Balozi.
Mdau
Barabara ya Toure Drive Road
Ufukweni, Dar-es-Salaam.
Mkuu wa msafara alichovaa shingoni ndiyo medali tuliyopata London Olympic 2012?
ReplyDeleteMdau
Michenzani.
What is it wanamichezo wetu wanatakiwa kufanya ili waweze kushinda michezo ya kimataifa?
ReplyDeleteNa sisi wengine tunatakiwa kuwasaidiaje ili waweze kufanikiwa?
hamna haja ya sheree hiyo hao wamepoteza pesa za taifa tu
ReplyDeletekwa sherehe tu na kula hatujambo.
ReplyDeleteLakini kufanya vizuri kimichezo na kiuchumi.... tunapiga domo tu.
Au walikuwa wanashangaa mabus na treni? But wenzetu wanajianda more than 3 yrs before ila cc mwezi 1, shame on you angalieni Kenysa na Uganda, their very serious,
ReplyDeleteHiyo nyumba ipakeni rangi basi, inaanza kuwa nyeusi wakti rangi inayotakiwa ni nyeupe.
ReplyDeletetuunde tume ya uchunguzi ilil tujue chanzo cha kufanya vibaya.... naomba niwe mjumbe angalau niambulie perdiem.....na ole wao wakiniteua...lazima niende London tukachunguze viwanja vya olympic.....inawezekana havijafikia standard ya Bongo.....ndio maana tunashindwa.....
ReplyDeleteTatizo la Kamati ya Olimpiki Tanzania ni kutokuwa makini na uchaguzi wa wachezaji. Hawa waliokwenda London ndiyo baadhi ya wale waliokwenda Beijing 2008 na wakatoka mikono mitupu. Lakini bado baada ya miaka minne wanachaguliwa tena kuwakilisha taifa. Je huu siyo ufisadi?
ReplyDeleteWatanzania, watanzania, watanzania wangu, mtamlaumu nani kwa kuniua pole pole kama hamtaanzia na ninyi wenyewe kila mmoja?
ReplyDeleteTujifunze kukiri uhaba wa juhudi zetu kila mmoja kwanza. Mimi nawapongeza hao waliotuwakilisha na binafsi namsaidia mwanangu kwenye ndoto yake ya kushinda medali Rio 2016. Kila mmoja afanye hivyo kwanza sasa na tujali michezo.
Hongera waliotuwakilisha.