Arobaini ya Marehemu Mama Hawa Ngulume (1949-2012) inafanyika nyumbani kwake Goba, Kinzudi, Dar es Salaam Jumamosi hii Octoba 13, 2012. Mama Ngulume alifariki Agosti 30, 2012 katika hospitali ya Lugalo.
Mbali ya kuwa mwanamichezo, askari na kada wa CCM, Hawa Ngulume alikuwa Mkuu wa wilaya za Singida, Kondoa, Morogoro, Kibaha, Kinondoni, Bagamoyo na Mbalari.
Loh kumbe mama yetu mpendwa alishafariki?!!Rest in Peace Hawa.
ReplyDeleteDavid V