Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Ripoti ya Tume ya kuzama kwa meli ya Mv SKAGIT,kutoka Mwenyekiti wa Tume kuchunguza ajali ya meli hiyo Jaji Abdulhakim Ameir Issa,Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na wajumbe wa Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv SKAGIT,iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Abdulhakim Ameir Issa,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...