Ni mnuso wa Send off party iliyofanyika wilayani Mpwapwa ya Bi Edina Msumuke ya kwenda kwa Mai Hazbendi Mtarajiwa wake wake Nicolaus Machilika.Wadau hawa wanatarajiwa kumeremeta rasmi Jumamosi ya tarehe 27/10/2012, Kanisa la Anglican mjini Mpwapwa,  Dodoma na kufuatia na mnuso wa nguvu katika  Chuo Cha ualimu (TTC) Mpwapwa
 Watarajiwa wakipata lekcha 
Ni wakati wa msosi na watarajiwa na wapambe wao hapo ni tonge nyama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wamependeza wenyewe maskini..

    ReplyDelete
  2. sasa mbona umeandika kwa uzuni mdau wa kwaza...masikini ya nini?

    ReplyDelete
  3. Harusi ingependeza zaidi laiti mpiga picha angekuwa mahiri. Mwanga mdogo, picha hazina fokasi ( Picha yenye focus mboni za macho huwa bayana) Nk.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...