Mheshimiwa Naibu Waziri Charles Kitwanga (katikati) kipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kuratibu Miradi wa kiwanda cha MM I Steel Bw. Lawrance Manyama (kushoto) wakati alipofanya ziara rasmi kuangalia changamoto za uharibu wa mazingira unaotokana na Viwanda na Mahoteli. Kulia ni Mhandisi Dr. Robert Ntakamulenga.
Meneja Mkuu wa kiwanda cha TANPACK TISSUES Ltd. Bw. Rajesh Shah akimuonyesha Mh. Naibu Waziri Charles Kitwanga sehemu maalum ya kuchujia maji taka yanayotoka katika kiwanda hicho.
Naibu Waziri wa Nchi kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mh.Charles Kitwanga akikagua matenki hayo wakati wa ziara hiyo aliyoambatana na wanahabari pamoja na viongozi wa NEMC.
Maafisa wa Wizara, NEMC na baadhi ya wanahabari wakiangalia taratibu zinazopitiwa kupitisha na hatimaye kusafisha maji taka ya viwanda kabla ya kwenda kuyamwaga katika maeneo ya wazi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
MAZINGIRA MAANA YAKE NINI HIVI UCHAFU ULIOJAA DAR KOTE SI MAZINGIRA DAR NI MJI MCHAFU NAMBA MOJA EAST AFRICA HATA AIBU HATUONI, SHAME ON US
ReplyDeleteHapo ni kuzunguka tuu kisha kulipana allowance hakuna lolote wafanyalo dar uchafu mwingi mnoo
ReplyDeleteAsante mdau
ReplyDelete