Kama kawaida yetu tukiwa na wageni toka East Africa kama Super Stars.
Basi uwa tunapenda kuwanae saani moja kama hifuatavyo Bongo Flavaz..
Chege Chigunda ni Mgeni wetu hapa nchini Norway pia Europ Tours.
Sasa pia anapenda kushirikiana na mwenzake toka Bongo Kigoma ni
Ommy Dipoz kwa Pozi wanafanya show kambambe hapa Nchini Norway 
Ikifanyika ndani ya Ukumbi wa 
Lakkegata skole 79b Slurpen @ 10-May-2013.
 
 
Cc.200 on door & 150 Nok, booking on www.Djpred.com 
Or call:- +47 96872483- Facebook/ Mpily Oslo Norway
                      Togather tunawakilisha....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2013

    Safi sana, nafurahi kuona vijana wetu kutoka background zote wanaweza kujiajiri na kufanikiwa kimaisha, hakika ni kupitia ushirikiano wa watanzania katika diaspora mambo kama haya yanaweza kufanikishwa. Serikali inatakiwa iingize mkono wake kuleta tija zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...