Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2013

    Ughaibuni wanawake hawategemei mwanamme ili waishi. Ughaibuni kuna "benefit" na "welfare" kulinda raia. Kazi pia ni nyingi ughaibuni na wake kwa waume wanafanyakazi moja. Mwanamke ana uhuru wa kufanya lolote bila kuwa na woga.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2013

    marekani kuna njaa kweli maisha yapo huku europe tu

    watu wa uingereza wanashindana kuzaa ili wapate mafanikio maana ukiwa na watoto serikali inawalipa matumizi makubwa kiasi kwamba kuna wengine mpaka wanajenga bongo kwa hela za watoto

    huko marekani njaa kwa kwenda mbele ukipata mtoto lazima uchangie hela kwenye serikali

    marekani inafifanya tajiri sana lakini hakuna lolote hela zote wanamalizia kwenye vita maana wana shetani linapopenda damu

    raia wa marekani wanateseka njaa kwa kwenda mbele

    huku ulaya mambo safi hakuna njaa njaa mdudu njaa walishamuuwa zamani

    fanyeni mchukue hizo massport za huko marekani alafu mkimbie hapo mtakuja kuzeeka bila mafanikio.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2013

    hahahaha huyo benja mnamweza kwelii

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2013

    umeongea vizuri dada, kweli nyumba inajengwa na mwanamke, ole wake mwanaume anae oa mwanamke mpumbavu.

    Tatizo wanaume wengi ni wabishi, hata wakipata wanawake wenye akili hawataki kuwasikiliza, wanaleta ubabe, mwishowe wanaume hao wanaharibikiwa kimasiha, majuto ni mjukuu. Tulieni kwenye ndoa zenu, msikilizane na wake zetu, mtabarikiwa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2013

    Ughaibuni hakuna nyumba ndogo hasa ukizingatia mchakamchaka wa maisha. Mwaka jana nimefanya research isiyo Dar-es-salaam mpaka jasho likanitoka.Majumba mengi sana mazuri kwenye viwanja vipya Dar mara nyingi sana unakuta zimejengewa nyumba ndogo ukienda Mbezi ,Kinyerezi, mpaka wabunge wamejenga huko kisa nyumba ndogo.Nyumba ndogo ni janga la kitaifa Tanzania

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2013

    The problem with Tanzanian men is they think they are still in Tanzania where they dominate their women, but you don't get that here and they cannot bear that hence they blame the woman, and i think its time men understand we are all equal and we are in the western land not Bongo!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2013

    Wadau wanaosema nyumba ndogo ughaibuni hakuna hiyo sio kweli. Meya wa London amezaa na nyumba ndogo, Tiger Woods amekuwa na nyumba ndogo nyingi tu. Miterrand rais wa zamani wa France alikuwa na mtoto kutoka nyumba ndogo. Prince wa Monaco naye pia amezaa na Mtogo. Mwanaume kuwa na nyumba ndogo ni kitu cha kawaida tu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 21, 2013

    Eliza na Salma mko juu. Mmeongea ukweli mtupu. Wanaume leo mmepatikana kushinda kuhangaikia nyumba ndogo. Tulieni mtaona mafanikio makubwa mtakayoyapata na wake zenu wa ndoa. Acheni tamaa kitu cha dakika 5 kikakupe bills za miaka za ulezi nk. Embu badilikeni. sasa wanaume wa bongo ndio ovyooooooooo nafuu hata huko, huku mh ni janga la uzinzi na nyumba ndogo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 21, 2013

    Duh, leo mzee mzima Benja kapata wasemaji naona leo hadi pumzi inamwishia ! hadi jasho limemtoka?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 21, 2013

    si kweli kuwa maisha yapo EU peke yake zamani ilkuwa ok maisha yalikuwa mazuri huku Ulaya lakni sasa hakuna kazi zimekuwa ngumu,maisha yapenda over asilimia 1000 nadhani huyu aliyeandika Usa ni njaa hajawahi kwenda huko Usa,vitu Ulaya vilikuwa rahisi sana Petrol usisema chakula nk nenda Japan over 10 years vyakula vipo bei sawa from 2004 mpka leo hii tembea uone sio kukaa tu Ulaya
    wanawake kweli hapa Ulaya hawana shida ndio maana wana nyodo saana sasa hali imekuwa si ya hapo mwanzo sasa kazi kwao,mtu yoyote anaishi Usa ni kidume sio lelemama kama UK Sweden Norway nk

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 21, 2013

    ila marekani wanaume wa kibongo wamezidi kuwa wavivu. unaamka kwenda kazini asubuhi unamwacha mwanaume kalala halafu anajiita kidume! kidume kinaamka asubuhi kwenda kutafuta riziki ebo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...