Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (aliyevaa kitenge)akiwapungia mkono wanafuzi wa Chuo cha Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Stadi(VETA) , Lindi kabla ya kuzindua mradi wa mafunzo ya gesi na mafuta ya Petroli jana mkoani Lindi.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah Moshi na wa pili Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila na kushoto wa kwanza ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Dk. Nassoro Hamidi.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (aliyevaa kitenge) akipata maelekezo kutoka kwa mwanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Stadi (VETA), Edwin Nduguru(kushoto) jinsi deep stick inavyofanya kazi ya kupima kiwango cha oil kilichopo katika injini ya gari alipotembelea karakana ya ufundi wa magari wa chuo hicho jana. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah Moshi (kulia) , Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Dk. Nassoro Hamidi (kushoto).
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (aliyevaa kitenge ) akiongea jambo na Meneja wa British Gesi Tanzania ambao ndiyo wafadhili wa mradi wa mafunzo ya gesi na mafuta ya Petroli, Kate Sullam (kushoto) jana kwenye Chuo cha Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Stadi(VETA) , Lindi .Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah Moshi .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...