SIMU.TV: Chama Cha Wafamasia PST kimeonya kuwafungulia mashtaka watu watakaothibitika kujishughulisha na uuzaji wa dawa bandia https://youtu.be/PgHcmOo7Gx4
 SIMU.TV: Wazazi na Walezi wameaswa kuhamasisha Vijana wao wajitokeze kwa wingi kupiga kura pindi uchaguzi utakaporudiwa.  https://youtu.be/CV7Efhnezic
 SIMU.TV: Mfuko wa kupambana na saratani ya matiti imepanga kufanya matembezi ya hisani Disemba 6 ili kuchangisha Sh. Mil.130 kwaajili ya kusaidia wanawake wanaokumbwa na ugonjwa huo;https://youtu.be/Xja6nBEVI0Q
 SIMU.TV: Mchezaji Brian Majwega afunguka na kuelezea sakata lake kuwa hayupo tayari kuichezea timu ya AZAM FC  hata kama TFF itaamuru achezee timu hiyo; https://youtu.be/-H6gXBzs_Is

SIMU.TV: Papa Francis amefanya misa yake ya kwanza katika Chuo kikuu cha Nairobi Kenya huku maelfu ya waumini wakihudhuria ibada hiyo.  https://youtu.be/okeZ3j5HE3s
 SIMU.TV: Jiunge na wadau mbalimbali wakiichambua falsafa ya Rais Magufuli ya hapa kazi tu, jinsi itakavyo likomboa taifa la Tanzania.https://youtu.be/pFzzI0H3M3g
 SIMU.TV: Baadhi ya Wakazi wa Manispaa Ya Ujiji Mkoani  kigoma wamewaomba wataalamu wa Afya na Mazingira kufuatilia usafi kuepuka kipindupindu. https://youtu.be/3qSu5BS63Yc
 SIMU.TV: Rais Shein amesema ushindi wa tuzo ya dhahabu ya sheria ya mtoto ya Zanzibar ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na wengi; https://youtu.be/BF3ymq2-NqM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...