Mtoto katika ubora wake.
Watoto wakifurahia  mchezo wa kusukuma Gurudumu la Pikipiki juu ya kivuko cha mtalo wa kupitisha maji kama walivyokutwa na kamera yetu mkoani katika kijiji cha Namayuni mkoani Lindi mwishoni mwa wiki.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Pole sana!Lakini uandishi wa blog is never a journalism form; ni sawa na uandishi wa barua. Huna haja ya mhariri. Na inaonyesha mwandishi alivyo hata katika kuandika spelling sanifu za maneno!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...