Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi kizungumza na Madiwani na Wenyekiti wa Serikali za Mitaa (hawapo pichani) juu ya kuwawezesha viongozi katika ngazi ya Mitaa kusimamia na kulinda maeneo ya wazi ,miundombinu na maeneo mengine ya umma.( Katikati) ni  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi na kulia ni Mkurugenzi wa Mipango Miji na Vijiji Profesa.John Lupala
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwaonesha  Ramani Madiwani na Wenyekiti wa Serikali za Mitaa
Sehem ya Madiwani na Wenyekiti wa Serikali za Mitaa wakiwa  katika mkutanohu uklio fanyika jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera. Iundwe tume maalum ya kushughulikia matatizo ya wamachinga. Wapewe maeneo maalum yaliyoboreshwa kihuduma. Kuwakamata na kuwafukuza kutazalisha vibaka na majambazi. Kundi hili lipewe kipaumbele. Nk lazima waingie katika vikundiaalum. Wasajiriwe na kutambulika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...