Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari (Kushoto)akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan ,mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam leo,Kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari, (wapili kushoto) akiwa kwenye gari pamoja na wageni wake kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan na Kulia ni Ofisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Kuwait Nchini, Mohamed Rashid Alamiri, mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam leo,Kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan ,(Kulia) akimfafanulia jambo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari, kuhusiana na usafiri wa Anga mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam leo,Kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...