Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongozana na Naibu Gavana wa BOT Dkt. Natu Mwamba akiwasili makao makuu ya Benki Kuu ya Tanzania alikofanya ziara ya kushtukiza leo Machi 10, 2016 .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hapa Bank kuu ni lazima kuweka mashushu ndani ili tupate habari za undani.Conspiracy zipo nyingi sana hapa. Hili ni jipu kubwa ,ni lazima nalo litumbuliwe.....
    Tumechoka kudhulumiwa pesa zetu za walipa kodi. Mungu atawalipa hapa duniani wezi wote na mafisadi wa mali za serikali.

    ReplyDelete
  2. ..Aisee Mtu fake kamwe hajifichi,Nadhani wale kamlete wanahenyahenya na Prof Ndulu akifanya mchezo kibao kinageukia kwake, Hebu subiri sisi macho kuona na tuone nani atamfunga Paka kengele!! Naanza kuipenda nchi Yangu kidhati kabsaaa!

    ReplyDelete
  3. Inasikitisha mno kuona watu wanaolipwa mishahara mikubwa na wanakuwa more greedy wakati nia ya kuwalipa vizuri ni kuongeza tija. Tuwe na uchungu na nchi yetu jamani, hebu angalia mh rais anavyongea kwa uchungu

    ReplyDelete
  4. Inasikitisha sana kuona kwamba nchi nzima anaachiwa Mheshimiwa Rais na Mh. Waziri mkuu. Viongozi wengine wote wana kuwa kama hawapo au wanaendelea na ulaji kama kawaida. Hili ni jambo la kusikitisha na kushangaza hata kwa mtoto mdogo wa shule ya msingi.
    Ni aibu kubwa. Kwa nini msijihuzuru kama hamtaki kazi?
    Watu wawili hawawezi kuongoza nchi nzima na kugusa kila idara. mutawachosha!!!!!Kisha mutawaona wakali!!!

    ReplyDelete
  5. KWA HILI NAOMBA TUSHIRIKIANE ZOTE KATIKA VITA HII YA KUBAINI MAOVU. RAIS NA WAZIRI MKUU PEKE YAO HAWAWEZI KUMALIZA HII VITA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...