Kamishina wa Operesheni na Mafunzo wa Makao Mkuu ya Jeshi la Polisi, Nsato Mssanzya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Jeshi la  Polisi nchini, linatoa muda wa miezi mitatu kwa ajili ya kukamilisha zoezi la  kuhakiki silaha kwa nchi nzima. Aidha jeshi la polisi linawataka wamiliki wote wa silaha kutumia muda huo kulipia ada ya umiliki wa silaha na kufanya uhakiki wa silaha zao.katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Kamishina wa Oparesheni na Mafunzo wa Makao Mkuu ya Jeshi la Polisi, Nsato M.Mssanzya, katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...