Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu waRais- Muungano Mazingira, January Makamba akiongea na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria walipotembelea kukagua mradi wa ujenzi wa  jengo jipya la Ofisi ya Makamu wa Rais. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Mohamed Omary.
 Katibu Mkuu  Ofisi ya Mkamu wa Rais, Mbarak Abdulwakil akisoma taarifa ya mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Makamu wa Rais mbele ya Wajumbe wa Kamati ya bunge ya Katiba na Sheria (hawapo pichani) walipotembelea Ofisini hapo kukagua mradi huo.
 Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge na sheria wakisikiliza kwa makini taarifa ya mradi wa ujenzi wa  jengo jipya la Ofisi ya Makamu wa Rais iliyokua ikisomwa na Katibu Mkuu (hayupo pichani)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...