Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2016

    The mdudu, Asante sana rais wetu mpendwa JPM tupo nyuma yako watanzania haya sasa mjipange kisawasawa Makandarasi wetu muda ndio huu wa kuikomboa Tanzania yetu jipangeni vizuri sana ili muwe mnachukua mijitenda na mpige kazi kisawasawa ok asanteni ni hayo tu kwa leo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2016

    Hongera sana Rais wetu kwa kuwafunua mawazo makandarasi. Maana hawa makandarasi wengine wanataka kupiga deal moja tu wawe matajiri.
    Mjitahidi kufanya kazi kwa uhakika na ufanisi mkubwa kwa faida kiasi; ili muweze kupata kazi nyingi na kuajiri wananchi wengi. Faida kiasi kwa kazi nyingi si sawa na faida kubwa kwa kazi moja tu kwa maisha yako yote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...