.  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisalimiana na Mhe. Jaji Lameck Mlacha alipowasili Mwanza tayari kwa kuanza ziara ya kukagua shughuli za Mahakama katika kanda ya Mwanza.
  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.

 Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akizungumza na Jaji Mfawidhi wa Mwanza Mhe. Robert Makaramba alipowasili jijini Mwanza tayari kuanza ukaguzi wa shughuli za Mahakama katika Kanda ya Mwanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...