Katika Pita Pita za Libeneke lako la Globu ya Jamii ilifanikiwa Kuzinasa Taswira Kutoka Katika ukingo wa Mto Msimbazi lililopo Kigogo Jijini Dar es salaam na kushuhudia Jinsi hali ilivyokuwa ni safiki na pendwa haswa kwa Wakazi wanaolizunguka eneo hilo.
Kwani takataka zimejaa katika eneo lote la kingo hizo na Wakazi wa eneo hilo hakuna lolote linalofanyika ili kuweza kukabiliana na Changamoto hiyo ya Kijipu Upele kilichopo katika mazingira yao  na badala yake baadhi yao wanaendelea kuongeza takataka kwenye eneo hilo.

Watoto waishio katika mazingira hayo ni marafiki wakubwa wa eneo hilo kwani hutumika kama Njia pia ni kama sehemu ya michezo kama ambavyo Baadhi ya watoto waonekanao katika taswira hii.
Picha na Fadhil Atick a.k.a Mr Pengo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...