Mimi Mzee Hussein Salehe Kaombwe natangaza kumtafuta kaka yangu mzee Mohamedi Salehe Kaombwe ambaye alitoweka nyumbani kwake Magomeni Mikumi nyumba namba 191 mtaa wa Ifunda jijini Dar es salam. Kwa sasa nyumba hiyo ina namba 9 (mfumo mpya wa namba za nyumba)

Mzee Mohamedi Salehe Kaombwe alikuwa anafanya biashara ya jongoo pwani kati ya Dar es salaa, mafia na kilwa masoko

Tafadhali naomba kwa yeyote anae mfahamu na kumuona alipo atoe taarifa katika kituo cha polisi kilichokuwa karibu nae au atoe taarifa kwa kupiga namba zifuatazo:
Mzee Hussein Salehe kaombwe (0712 07 00 19), 
Salehe Mohamedi Salehe (0754 711 862) 
Hamisi Mohamedi Salehe (0717 079 124)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...