SIMU.TV: Mbunge wa Mpanda vijijini Mhe.Selemani Kakosa  aitaka serikali kubainisha ni lini serikali ya mkoa itajengwa mkoani Katavi. https://youtu.be/losPtCkivvA
 SIMU.TV: Hivi ndivyo Mhe.Esther Matiko alivyoichachafya serikali juu ya uboreshaji wa mazingira ya kazi kwa madiwani na wenyeviti wa mitaa.  https://youtu.be/n0bsDAG5u24
 SIMU.TV: Naibu waziri Eng. Ngonyani akijibu swali la mbunge wa Ushetu Mhe.Elias Kwandikwa  juu ya changamoto ya mawasiliano Ushetu.  https://youtu.be/H63sTbDMbR4
 SIMU.TV: Mhe.Riziki Mngwali aihoji serikali juu ya kusuasua kwa matumizi ya gati kubwa iliyogharimu serikali mabilioni ya fedha katika bandari ya Mafia.  https://youtu.be/B-CGiDlOTHM
 SIMU.TV: Waziri Hamad Masauni akijibu swali bungeni  juu ya ujenzi wa uzio mkubwa katika vituo vya polisi visiwani Zanzibar.  https://youtu.be/uTzzTtuowhU
 SIMU.TV: Mhe.Perasso aitaka serikali kuweka wazi kiasi kilichotumika kwaajili ya kampuni iliyopewa tenda ya kufunga mfumo wa kieletroniki kwa kutunza kumbukumbu za wagonjwa na taarifa za bima ya afya.  https://youtu.be/8lPIuu3zQY8
 SIMU.TV: Msikilize Mhe. Ndalichako akielezea hatua mbalimbali zinazochukuliwa na wizara yake kudhibiti ubora wa elimu na taasisi za elimu nchini. https://youtu.be/gNmJltJq7io
 SIMU.TV: Waziri Ndalichako ameeleza kuwa ujenzi wa hospitali ya kufundishia ya Mloganzila kukamilishwa  mwezi June 2019. https://youtu.be/aG7MfId6u3s
 SIMU.TV: Hivi ndiyo vipaumbele katika sekta ya elimu kwa mwaka 2016, 2017 kama anavyowasilisha waziri Prof.Joyce Ndalichako.  https://youtu.be/AeSPNx6xm3w
 SIMU.TV: Sikiliza vipaumbele vilivyowekwa na serikali katika utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu na suala laurejeshaji wa mikopo. https://youtu.be/rsE7Z8q93M0
 SIMU.TV: Haya ndiyo mapitio ya utekelezaji na  ushauri wa kamati ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kwa mwaka 2016.2017.  https://youtu.be/i1AuV7usl5c
 SIMU.TV: Sikiliza alichokiongea Mhe.Husein Bashe kuhusiana na utoaji wa elimu bure kwenye shule za serikali nchini.  https://youtu.be/Az3UAy6A1WI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...