Mashabiki wa muziki wamejitokeza kupakuwa kuitazama video ya Mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika Nalimi Mayunga aliyoifanya na mwanamuziki nguli nchini Marekani Akon
Bofya kwenye mshale mweupe hapo chini uone LIVE Video hiyo ya Mayunga au uone mahojiano yake wakati akiwa nchini marekani. Utapata pia kujua jinsi ambavyo Airtel kupitia shindano lake la Airtel Trace Music Stars lilivyomwezesha Mayunga kufikia ndoto zake. Bofya video ya pili
Home
Unlabelled
TAZAMA VIDEO YA MSANII MAYUNGA NA AKON ILIYOPAKULIWA NA MASHABIKI WENGI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...