Mwanafunzi Sara Sulle wa kidato cha nne shule ya Sekondari Malama Mkoani Mbeya amelazwa katika hospitali teule ya Ifisi Mbalizi kwa siku tano baada ya kupigwa na walimu wanne kwa kosa la kukutwa katika mtandao wa Facebook.
 Baadhi ya Majeraha aliyoyapata maeneo ya miguu.
 Majeraha aliyoyapata mkononi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2016

    Hawa nao wakamatwe wafunge kama Kofi Olomide. Huu ni unyanyasaji wa wanafunzi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2016

    sasa hivyo vipigo vina tofauti gani na vile vya Koffi Olomide? miezi 18 inawahusu na wao

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2016

    Kama hakujiweka vibaya facebook, hivi hawa waliompiga wanaishi karne ya ngapi, hivi wanajua mitandao ipo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...