Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akimsikiliza Meneja Biashara wa Kampuni ya BAM, Bw. Chris Bowers, wakati alipotembelea Jengo la Tatu la Abiria (Terminal III), jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Maafisa Uhamiaji katika Kiwanja cha Ndege Cha Kimataifa Cha Julius Nyerere(Terminal II), alipotembelea kuangalia utendaji kazi na vifaa vya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akizungumza na Mawakala wanaofanya kazi  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),alipotembelea kuona utendaji kazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA).
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Swissport, Gaudence Temu, wakati alipotembelea Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) hawapo pichani, wakati alipoongea nao jijini Dar es Salaam. Picha na Benjamini Sawe-Maelezo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...